eGazeti “First, credible news” | Mwananchi ePapers Apk Download Latest Version for android

eGazeti “First, credible news” | Mwananchi ePapers Apk Download Latest Version for android

Description of eGazeti "First, credible news" | Mwananchi ePapers

eGazeti.co.tz brings the Most Credible News from East Africa, Tanzania, Kenya, Uganda, Africa and the World. Get your Dailys, Special Reports, Scoops, and latest stories from Politics, Business, Technology, Sports and more.

eGAZETI ni mfumo bora wa kusoma magazeti ya Mwananchi Communications Limited (MCL), Pia magazeti ya Kenya na Uganda.
Mwananchi Communications Limited and Dau Technology Limited wanafurahi kukuletea mfumo wa eGAZETI, unataka kufanana na Mwananchi Epaper reader.
kwa kushirikiana na Dau Technology LTD, eGAZETI inakuletea mfumo ambao ni rafiki kwa mtumiaji.
e Gazeti ni App itakayokupa uwezo wa kusoma Magazeti yote ya Mwananchi, The Citizen na gazeti lako pendwa la michezo la Mwanaspoti. Pia e Gazeti inakuletea uwezo wa kusoma habari mbalimbali za kiuchambuzi kama vile Special reports, ambayo ni habari maalumu kutoka gazeti la Mwananchi na The Citizen.
Kuwa wa kwanza kupata habari zenye viwango vya juu, zilizothibitishwa kimataifa.
Kwa kutumia eGAZETI utapata habari kutoka gazeti la:
– Mwananchi: ambalo limesheheni habari mbalimbali za Siasa, Michezo, Chambuzi mbalimbali. Ni gazeti linaoongoza Tanzania, na Afrika mashariki ambalo hutoka kila siku,
– The Citizen: Ni gazeti la kingereza ambalo hutoka kila siku lenye habari za kitaifa na kimataifa, habari za siasa, biashara na mengine mengi.
– Mwanaspoti: Ni gazeti la michezo, burudani. Kama wewe ni mpenda michezo au mfuatiliaji wa michezo, mwanaspoti litakupa yote haya.
Kwa sasa pia unaweza kusoma magazeti yafuatayo:
– Daily Monitor
– Business Daily
– Taifa leo
– The East AFrican , na mengineyo mengi
Pia: eGAZETI inakupatia namna bora na rafiki ya kufanya malipo kwa mitandao yote pendwa.
Hii siyo Mwananchi Blog, ni mfumo kamili wa kusoma magazeti yetu kwa njia ya kidigitali
App ya Gazeti kwa mfumo wa epaper itakuwezesha kusoma machapisho hata kama utakuwa offline baada ya kupakua mwanzoni, pia itakuwezesha kuona maktaba yako ambayo inakurahisishia usomaji.
Utaweza kuchagua na kulipia gazeti kwa:
Malipo kwa siku
Malipo kwa wiki
Malipo kwa mwezi
Malipo kwa miezi mitatu na
Malipo kwa mwaka mmoja

=== English ===
eGazeti is an application for reading Tanzania newspapers, especially Mwananchi papers or publications. This Tanzania Epaper offers the following publications:
– Mwananchi Epaper
– The Citizen Epaper
– Mwanaspoti Epaper
– Special Report Epaper
– Daily Monitor for uganda epaper or publications
– Business Daily epaper
– Taifa leo Epaper
– The East AFrican Epaper.
All these Tanzania epapers and East AFrican publications are avaible via Egazeti.
Join us and get best expirience in your mobile or egazeti web.

Karibu, “First with credible news”
eGazeti.co.tz brings the Most Credible News from East Africa, Tanzania, Kenya, Uganda, Africa and the World. Get your Dailys, Special Reports, Scoops, and latest stories from Politics, Business, Technology, Sports and more.

eGAZETI is an excellent system for reading Mwananchi Communications Limited (MCL) newspapers, as well as Kenyan and Ugandan newspapers.
Mwananchi Communications Limited and Dau Technology Limited are happy to bring you the GAAZETI system, you want to be like Mwananchi Epaper reader.
in partnership with Dau Technology LTD, eGAZETI brings you a system that is user friendly.
e Gazeti is an App that will give you the ability to read all of Mwananchi Newspapers, The Citizen and your favorite sports magazine Mwanaspoti. E Gazeti also brings you the ability to read a variety of analytical news such as Special reports, which are specialized news from Mwananchi newspaper and The Citizen.
Be the first to receive high-quality, internationally certified information.
Using eGAZETI you will receive information from:
– Citizen: which is loaded with various news of Politics, Sports, various Analysts. It is the leading newspaper in Tanzania, and East Africa that comes out every day,
– The Citizen: It is an English daily newspaper with national and international news, political news, business and much more.
– Athlete: It’s a sports magazine, entertainment. Whether you are a sports fan or a sports fan, a sports fan will give you all of this.
You can now read the following magazines:
– Daily Monitor
– Business Daily
– Nation today
– The East AFrican, and many more
Also: eGAZETI gives you the best and most friendly way to make payments to all your favorite networks.
This is not a Citizen Blog, it is a complete system for reading our magazines digitally
The Magazine app for epaper system will allow you to read posts even if you will be offline after download at first, it will also allow you to view your library which makes it easier for you to read.
You will be able to choose and pay for the magazine by:
Payment per day
Payment per week
Payment per month
Payment for three months and
Payment for one year

=== English ===
eGazeti is an application for reading Tanzania newspapers, especially Mwananchi papers or publications. This Tanzania Epaper offers the following publications:
– Citizen Epaper
– The Citizen Epaper
– Athlete Epaper
– Special Report Epaper
– Daily Monitor for uganda epaper or publications
– Business Daily epaper
– Nation today Epaper
– The East AFrican Epaper.
All these Tanzania epapers and East AFrican publications are avaible via Egazeti.
Join us and get the best expirience in your mobile or web magazine.

Welcome, “First with credible news”
– Tumeondoa tatizo kwa baadhi ya wateja wa Airtel Money kushindwa kulipia
– Tumeboresha zaidi, mfumo kwa watumiaji wote.

App Information of eGazeti "First, credible news" | Mwananchi ePapers

App Name eGazeti "First, credible news" | Mwananchi ePapers
Package Name com.dautechnology.egazeti
Version 1.5.2
Rating ( 169 )
Size 17.3 MB
Requirement Android 4.2+
Updated 2020-08-18
Installs 50,000+

Tags: , , ,

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *